Back to products

1 / 8
Quality Assured
Free Delivery
Cash on Delivery
(267 sold)
South Moon Bee Venom Bone Cream
55,000 TZS110,000 TZS-50% OFF
60g jar cream with bee venom for quick joint pain relief, arthritis, osteoporosis, gout; soothes knee/back pain, especially for older adults.
GET MORE = SAVE MORE
Quality Assured
Free Delivery
Cash on Delivery
BEE VENOM (SUMU YA NYUKI) - CREAM YA MAUMIVU
Bee Venom ni bidhaa ya asili inayotengenezwa kwa sumu ya nyuki, inayojulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kupunguza na kuondoa maumivu ya mwili, uvimbe na matatizo ya viungo. Imetumika kwa muda mrefu kwenye tiba asilia na bidhaa za kisasa za afya.
FAIDA ZA BIDHAA
- Huondoa maumivu ya mwili kwa haraka
- Hupunguza maumivu ya mgongo, shingo, bega, kiuno na misuli
- Maumivu ya goti na viungo
- Arthritis / Rheumatism
- Misuli iliyochoka
- Uvimbe na ganzi
- Maumivu ya muda mrefu ya mifupa
- Huleta joto na nafuu ya muda mrefu
INAFAA KWA
- Wenye maumivu ya mgongo na kiuno
- Wenye arthritis na rheumatism
- Wazee wenye maumivu ya viungo
- Wenye gout na maumivu ya mifupa
Ni rahisi kutumia na salama kwa matumizi ya kila siku. Fuata maelekezo kwenye pakiti.
