Cash on delivery 🚚 Free delivery across Tanzania
Back to products
FitO Tea 28 Day Slimming Tea - Image 1
1 / 9
Quality Assured
Free Delivery
Cash on Delivery
(334 sold)

FitO Tea 28 Day Slimming Tea

75,000 TZS150,000 TZS-50% OFF

Organic herbal tea bags (28-day program) to boost energy, reduce bloating, burn fat, detox, and support weight loss goals.

GET MORE = SAVE MORE

DELIVERY INFORMATION

Buy 1

Get 50% off

75,000 TZS

150,000 TZS

POPULAR

Buy 2

Get 1 Free

150,000 TZS

450,000 TZS

BEST

Buy 3

Get 2 Free

225,000 TZS

750,000 TZS

SLIMMING TEA - CHAI YA KUPUNGUZA UZITO

Slimming Tea ni chai ya asili iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa mimea tiba, inayosaidia kupunguza uzito, kuchoma mafuta ya mwili na kusafisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa njia ya asili na salama.

FAIDA ZA BIDHAA

  • Husaidia kupunguza uzito wa mwili taratibu
  • Huchoma mafuta hasa ya tumbo na kiuno
  • Hupunguza hamu ya kula kupita kiasi
  • Husaidia kusafisha tumbo na kuondoa sumu mwilini
  • Huboresha mmeng'enyo wa chakula
  • Hupunguza tumbo kujaa na gesi
  • Huongeza nguvu na uchangamfu wa mwili
  • Husaidia kuupa mwili umbo

INAFAA KWA

  • Wanaotaka kupunguza uzito
  • Wenye mafuta mengi tumboni na kiunoni
  • Wenye tumbo kujaa mara kwa mara
  • Wanaotaka detox ya mwili
  • Wanaojali afya na muonekano wa mwili

Ni rahisi kutumia na salama kwa matumizi ya kila siku. Fuata maelekezo kwenye pakiti.