Back to products

1 / 10
Quality Assured
Free Delivery
Cash on Delivery
(198 sold)
Eelhoe Ginger Essential Oil (Large)
75,000 TZS150,000 TZS-50% OFF
30ml larger bottle ginger aroma oil for massage on joints, abdomen, legs; helps relieve pain, improve circulation with plant extracts.
GET MORE = SAVE MORE
Quality Assured
Free Delivery
Cash on Delivery
GINGER OIL SPRAY - KUONDOA KITAMBI (30ML)
Ginger Oil Spray ni mafuta ya tangawizi ya asili katika mfumo wa spray, yanayosaidia kuchoma mafuta tumboni, kupunguza kitambi na kuimarisha umbo la mwili. Yameunganishwa na harufu ya tangawizi inayotoa joto la asili mwilini, likilegeza misuli na kusaidia mwili kuondoa mafuta zisizohitajika.
FAIDA ZA BIDHAA
- Huchoma mafuta ya tumbo, kiuno na sehemu zilizojaa mafuta
- Hupunguza kitambi na uvimbe wa tumbo
- Huboresha mzunguko wa damu kwenye sehemu za tumbo
- Husaidia misuli ya tumbo kuwa laini na nyepesi
- Hutoa joto la asili linalosaidia mwili kuondoa mafuta zisizohitajika
- Hufanya mwili uwe na umbo zuri na kuimarisha figure
- Huongeza uchangamfu na kuondoa uchovu wa mwili
INAFAA KWA
- Wanaotaka kupunguza kitambi
- Wenye mafuta ya ziada tumboni na kiunoni
- Wanaotaka figure laini na umbo zuri
- Wanaotaka mwili kuwa nyepesi na wenye nguvu
- Wanaotaka kuchoma mafuta kwa haraka kwa njia ya asili
Ni rahisi kutumia na salama kwa matumizi ya kila siku. Fuata maelekezo kwenye pakiti.
