Back to products

1 / 9
Quality Assured
Free Delivery
Cash on Delivery
(156 sold)
Tigers Oil Spray
55,000 TZS110,000 TZS-50% OFF
30ml topical spray with tiger imagery for improving joint flexibility, bone health, muscle strength; targets neck, shoulder, waist, legs.
GET MORE = SAVE MORE
Quality Assured
Free Delivery
Cash on Delivery
TIGER SPRAY - KUONDOA MAUMIVU YA MWILI
Tiger Spray ni dawa ya kupuliza ya kuondoa maumivu ya mwili kwa haraka. Imetengenezwa kwa viambato vyenye nguvu vinavyoleta baridi/joto laini, kusaidia kulegeza misuli, kupunguza uvimbe na kuondoa maumivu moja kwa moja kwenye eneo husika.
FAIDA ZA BIDHAA
- Huondoa maumivu ya mgongo, shingo, bega na kiuno
- Hupunguza maumivu ya viungo na mifupa
- Husaidia arthritis, rheumatism na gout
- Huondoa maumivu ya misuli baada ya kazi nzito au mazoezi
- Hupunguza uvimbe, ganzi na kuchoka kwa misuli
- Huboresha mzunguko wa damu kwenye eneo lenye maumivu
- Hufanya kazi haraka (quick relief)
- Rahisi kutumia bila kupaka kwa mikono
INAFAA KWA
- Wenye maumivu ya mgongo na kiuno
- Wenye arthritis na rheumatism
- Wanaofanya kazi nzito za kimwili
- Wanamichezo wenye maumivu ya misuli
Ni rahisi kutumia na salama kwa matumizi ya kila siku. Fuata maelekezo kwenye pakiti.
